kupitia
akaunti yake ya Instagram Diamond ametupia picha ya ile nyumba
aliyosema anamjengea mama yake. Katika picha hiyo aliambatanisha na
maelezo haya "Had to visit mama Chibu's Village today.." Nyumba hiyo
inaonekana ya kifahari hasa ukiangalia muundo na mabati yaliyotumika
kujenga nyumba huyo.
Home
»
bongofleva
»
HILI NDILO JUMBA AMBALO DIAMOND AMEMJENGEA MAMA YAKE MZAZI..LICHEKI HAPA JUMBA HILO
0 comments :
Post a Comment