Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » Angalia Video Jinsi Wanigeria Wanavyokufa Kwa Njaa na Kiu Wakizamia Ulaya Kupitia Jangwa la Sahara

Angalia Video Jinsi Wanigeria Wanavyokufa Kwa Njaa na Kiu Wakizamia Ulaya Kupitia Jangwa la Sahara


Samahani Kwa Video Hii Inatisha , ila Hali ndo ilivyo huko Nigeria Kwa wale wanaozamania ulaya kupitia jangwa la Sahara, Ukiangalia ramani ya Dunia Utaoni Nigeria Imepakana na nchi za ulaya ila hapo katikati kuna jangwa kubwa la sahara sasa baadhi ya Wanaigeria Hujaribu kukatiza Jangwa hilo kwa kutembea kwa Miguu ambapo wengine uishiwa na chakula na maji na kuishia kufa.. Angalia video Hapa chini:


0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX