Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » BINTI AFUNGUKA, "HIVI NDIVYO WASICHANA WA BONGO WANAVYO ONGOPEWA KWENDA KUFANYA KAZI DUBAI NA KUJIKUTA WANAFANYA UMALAYA"...MSIKILIZE BINTI HAPA

BINTI AFUNGUKA, "HIVI NDIVYO WASICHANA WA BONGO WANAVYO ONGOPEWA KWENDA KUFANYA KAZI DUBAI NA KUJIKUTA WANAFANYA UMALAYA"...MSIKILIZE BINTI HAPA



 
Ushuhuda wa huyu dada inawezekana ukakufumbua macho na kujua wapi sehemu sahihi ya kuelekea na kujua nini unachotakiwa kukifanya kama umeshaanza kujiandaa safari ya kwenda Dubai.
Wimbi kubwa la ukosefu wa ajira nchini bado ni tatizo kubwa ambalo hupelekea wengine wanaposikia kuna kazi sehemu huamua kwenda moja kwa moja kufatilia kuhusu ajira hiyo.
Gea Habib ameongea na msichana huyu amabye kiasili yeye ni Mwenyeji wa Moshi na amesimulia stori yake nzima na vitu walivyokuwa wanafanyiwa wakati yupo huko Dubai.

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX