Mitandao kama instagram , Whatsapp na Facebook ndio habari ya mjini kwa sasa lakini ni ukweli usiofichika kwamba it has done more harm than good kwani mara nyingi tumeona ikileta shida sana kwenye jamii hususani mastar wetu husasani wa hapa bongo na kwani imekuwa tatizo kwao tena kubwa sana.mitandao imesababisha kuvunjika kwa mahusiano ambayo tulizani yatadumu kwa kipindi kirefu na kuwaacha watu wakivunjika moyo kwa kuona picha za wapenzi zao wakila raha na watu wengine. Vibe Tamzania tunakuletea baadhi ya matukio makubwa na ambayo hautaweza kuyasahau yaliyotokea kwa kuchangiwa na picha watu hawa zilizowekwa kwenye Mitandao.
Diamond Platnumz na Penny
Kwani ni mtandao uliyovunja penzi hilo ? kutengana kwa wawili hawa ni kama kulichochewa na picha zilizovuja za Diamond na Wema wakiwa Hongkong anbazo kwa wao walisema ni picha za movie ambayo hadi leo haijatoka. Kwa mara ya kwanza mchumba wa Diamond kipindi hicho , Penny alipoziona aliyasema haya "Ni kweli hata mimi nimenyetishiwa habari hizo lakini siamini kama inawezekana hao watu wakarudiana." , kumbe mwisho wa siku hiyo ndio ikawa habari ya mujini na kuweka historia mpya baina ya Penny na Diamond.
Chagabarbie na Prezzo
Baada ya Prezzo kuachana na Huddah Monroe ni watu wengi walifurahia kwasababu it wasnt the right couple hasa kwa upande wa Prezzo ukizingatia kashfa na umapepe wa Hudah. Hapo ndipo Prezzo alipojipatia mrembo wa kichaga , Starlisha Tillya a.k.a Chagga Barbie. Hakuna mtu aliyetegemea penzi hili kuisha lakini picha ya Marehemu Goldie aliyoiweka Prezzo ndio ilimuudhi mrembo huyu wa kichaga na kusababisha kushangaza watu kwa kumtosea Prezzo kupitia Instagram.
Naima na Clement
Naima ni demu mmoja wa ukweli , video Queen wa Mbagala na ngoma ya Shetta ya Mdananda ambaye kwa upande wake balaa lilianzia pale alipoweka picha yak mgongoni yenye Tatoo yenye jina la Clement ambaye alikua ni ex-boyfriend wa wema sepetu. Moto uliwaka kwa mdada huyo mpaka kufikia hatua ya watu kuweka picha zake za uchi na kuzasambwa kila kona ya bongo.
Wema na Kajala
Ilianza kama utani baada ya Wema kuanza ku-post pict akiwa na marafiki zake bila ya kumuweka Kajala na upande wa Kajala the same thing mwisho wa simu fanz wao wakataka kujua kulikoni baada ya kujipa najibu wenyewe , vita ndio vilipo anzia hapo. Kama sio Instagram ugomvi huo usingekua mkubwa kupiliza au kufikia hapa ulipofika.
Hudaah Monroe
Mkali huyo mwingi wa drama nchini kenya alitupia picture za uchi bila kujali follower wake wanaweza kuwa baadh yao wako chini ya umri au wengine hawapendezewi na picture hizo na bila ya kujali hakuonyesha kuomba radhi na wala kustuka kwani aliendelea na tabia yake hiyo bila kujali kabisa wapenzi wake.
Trust Rating
Not Yet Rated
tabasamtza.blogspot.com

0 comments :
Post a Comment