Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » JAMANI NIMETOKA OUT NA MREMBO MMOJA NKAKUTA AMEVA VIKUKU KIGUU YOTE MIWILI, JE INAMAANA GANI ???

JAMANI NIMETOKA OUT NA MREMBO MMOJA NKAKUTA AMEVA VIKUKU KIGUU YOTE MIWILI, JE INAMAANA GANI ???


 
 Wadau hapa niko out na mrembo mmoja tulikutana facebook miezi miwili hivi imepita leo ndio tumeonana live tupo chobingo moja hivi siri yangu tunapata moja moja, kaja amenivalia kimini na chini amevaa vikuku ama vicheni miguu yote miwili ...eti huwa zina ashiria au kumanisha nini? Huku mtaani midume huwa tuna danganyana sana juu ya hii kitu Wengine husema ukimuona anazo pande zote huyo antoa kotekote, Ebu tupeni ukweli wana dada au ni urembo tu kama heleni....?

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX