AIBU 100%!
Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’
amewaacha watu midomo wazi baada ya kutinga kivazi kilichomuacha wazi
mwili wake.
Mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’.
Jini Kabula alitinga kivazi hicho kwenye
bethidei ya mtoto wa mwigizaji mwenzake, Riyama Ally ambayo
aliiunganisha na ya kwake na kufanya bonge la sherehe katika Ukumbi wa
Chamuruma uliopo Mabibo jijini Dar, ambapo mwanadada huyo bila kujali
macho ya watu alitinga blauzi nyepesi inayoonesha maungo yake ya ndani
yalivyo hivyo kuzua minong’ono kwa baadhi ya waalikwa.‘Jini Kabula’ akiwa kwenye bethidei ya Riyama.
“Duh, huyu msanii Kabula ndiyo kavaaje sasa? Angalia blauzi yenyewe
ni kama hajavaa chochote kwani mpaka rangi ya braa ndani inaonekana, ni
aibu kubwa kwa msanii kama yeye.
Mwanahabari wetu alipomfuata Jini Kabula na kumuuliza kulikoni kuvaa hivyo alisema haoni shida.
0 comments :
Post a Comment