Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » MKUU WA SHULE ALIYOSOMA NICK MINAJ AMKATALIA KUONGEA NA WANAFUNZI KISA ANACONDA

MKUU WA SHULE ALIYOSOMA NICK MINAJ AMKATALIA KUONGEA NA WANAFUNZI KISA ANACONDA



Nicki Minaj amekutana na kikwazo kikubwa katika mpango wake wa kuzungumza na wanafunzi wa shule aliyosoma.

Mwimbaji huyo ameeleza jinsi alivyoumia baada ya mkuu wa shule hiyo kulikataa ombi lake la kuongea na wanafunzi hao kwa nia ya kuwa-inspire wafanikiwe kama yeye.

Huenda mkuu huyo wa chuo ameona Nicki Minaj sio mtu sahihi wa kuwa-inspire wanafunzi wake kwa kuzingatia video tata ya ‘Anaconda’ aliyoitoa hivi karibuni.

Hizi ni baadhi ya tweets za Nicki akionesha masikitiko yake baada ya kunyimwa nafasi hiyo.


0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX