Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » NISHA WA BONGO MOVIE AWACHEZEA MADENTI POSTA

NISHA WA BONGO MOVIE AWACHEZEA MADENTI POSTA

MWANADADA anayefanya poa katika tasnia ya filamu za Kibongo Salma Jabu ‘Nisha’ hivi karibuni alilazimika kuwachezea wanafunzi waliomtaka kufanya hivyo wakati wao wakimuimbia katika maeneo ya Posta, jijini Dar es Salaam.

 

“Ile kushuka ili niulizie sehemu nikashangaa kundi la wanafunzi limenivamia na kuanza kuniambia Nisha shuka huku wakiimba na kunitaka niwachezee, ikanibidi nifanye wanavyotaka baada ya hapo wakanielekeza nikaondoka, kiukweli nilifurahi na napenda sana kuona mashabiki zangu wakinipa sapoti,”

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX