Mwimbaji wa Nigeria Davido, ametumia akaunti yake ya Twitter kuufikisha
ujumbe wake kwa wasanii wenzake Wizkid na P Square kuhusu albam zao.
Davido amewapongeza wasanii hao ambao albam zao zinafanya vizuri sana kwenye iTunes hivi sasa, Wizkid (AYO) na P Square (Double Trouble).

0 comments :
Post a Comment