ASKARI wa usalama barabarani,
aliyejulikana kwa jina moja la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, aliyegongwa
na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza
majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam jana
asubuhi amefariki dunia leo.
Mpaka mauti yanamfika, marehemu alikiuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbi
Mpaka mauti yanamfika, marehemu alikiuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbi
0 comments :
Post a Comment