Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » Dada wa Diamond Esma Atoa Mipasho Kupitia Instagram Wiki Mbili tu Baada ya Kuolewa

Dada wa Diamond Esma Atoa Mipasho Kupitia Instagram Wiki Mbili tu Baada ya Kuolewa

Dada wa Mwanamuziki Diamond Anayejiita Esma Plainum Ambae Ameolewa Hivi Karibuni na Petit Man Amepost Video Kwenye Instagram Page yake Huku Akitoa Mipasho ya Taarabu yenye Kuwananga Wanao Ona Wivu Juu Yake Kuolewa...Baadhi ya Maneno yanasikika Akiimba
'Mwaona Donge la Nini Kama Mnaweza Pandani Juu mkazibe'

Je Kunani Tena ? 

Jionee Mwenyewe Hapa:
((bofya hapa))

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX