Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba amesema kuwa ana watoto watatu na kila mmoja ana mama yake.
Akizungumza
na jarida moja la burudani kiba aliyetoa nyimbo mbili mpya hivi
karibuni alisema kuwa kati ya watoto hao mmoja anaishi nae, wa pili
yupo Dar es salaam na mama yake na watatu anaishi Uingereza na mama
yake.
0 comments :
Post a Comment