Baada ya jana mwanadada wema sepetu kupewa zawaidi ya Gari aina ya NISANI -Murano....ilivumu
kuwa iliilikuwa zuga tu..kutokana na kile kinachodaiwa ni kutafuta
KIKI...Sasa leo kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM manager wa mwanadada
huyu, Martin Kadinda amefunguka baada ya kutupia picha hii ;.
"Yes…. Not only Murano from ya baby @diamondplatnumz this BMW is yours yes…. Suprised kuona jina kwa kadi?? I meant it… this car
came from kazi ndogo tufanyazo na support kubwa ya watu who wish you
the best always… peke yangu nisingeweza bila support yao. One thing you
should know nimejitolea kufanya kazi na wewe
because naamini kwa tanzania
ur my number one celebrity and my wish is to see u living as a truly
superstar…. Make my dreams come true basi.. Wema mimi natembelea vimeo
lakini siwezi kukubali wewe ushuke huku.. Wema its hight time u stand
and this is high time to understand kuwa wewe ni star and u deserve the
best from ya fame…!! People loves u so much….."
0 comments :
Post a Comment