Binti mrusi wa miaka 19 aliyefahamika kwa jina la Anastasia Tutik na mpenzi wake wa kiume toka mexico aliyefahamika kwa jina la Miguel, wamedondoka toka ghorofa ya 6 walipokuwa wakifanya mapenzi katika kibaraza wakisherehekea kumaliza mitihani yao ya mwisho.
Unaambiwa kuwa wapenzi hao walikuwa wakisherehekea katika apartment ya bei ghari na hadhi ya kipekee huko Deptford,kusini-mashariki mwa London, wakiwa pamoja na wanafunzi wenzao kutokachuo cha Bellerbys, shule ya kimataifa inayotoza kiasi cha kuanzia £21,000 kwa mwaka.
Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa walisikia kishindo kikubwa asubuhi na mapema.
Samson Oguntayo, 32, ambaye anaishi karibu na jengo la wahanga, amesema:
Walikuwa wanajaribu kufanya mapenzi katika kibaraza juu ya ghorofa. Jamaa alimnyanyua mpenzi wake na kumweka juu ya kibaraza na wakaendelea kufanya mapenzi Ungeweza kuwaona hata kwa mbali wakifanya kitendo hicho cha hatari. Mara nyingine walitoka nje na kurudi ndani karibu mara nne lakini walivyotoka mara ya tano hawakurudi ndani, kwani ndio safari waliyodondoka...tuliishia tu kupiga kelele.
0 comments :
Post a Comment