Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » VIMINI VYAMZUIA DIDA KUFANYA KAZI IKULU...NA HIKI NDICHO ALICHO FUNGUKA JUU YA SUALA HILO

VIMINI VYAMZUIA DIDA KUFANYA KAZI IKULU...NA HIKI NDICHO ALICHO FUNGUKA JUU YA SUALA HILO

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa kupitia Radio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’ amefunguka kuwa kamwe hawezi kufanya kazi Ikulu kutokana na vimini anavyovitinga.

Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani wa Radio Times, Hadija Shaibu ‘Dida’.

Akizungumza na Amani, Dida, alisema kuwa anafurahia sana kazi anayofanya kwa sababu inamruhusu kuvaa nguo yoyote anayojisikia vikiwemo vimini.Kufanya kazi Ikulu ningeshindwa kwani kuvaa nguo ni kwa sheria, huwezi kujivalia tu, kazi yangu nipo huru naweza kuvaa kitu chochote kile nikajisikia nina amani, lakini Ikulu lazima utinge koti na kuchomekea,” alisema Dida.

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX