Dogo Aslay akiwapagawisha mashabiki wakati wa uzinduzi rasmi wa Yamoto Band.
Yamoto Band wakilishambulia jukwaa la Dar Live wakati wa uzinduzi huo.
Burudani zikiwa zimepamba moto ndani ya Dar Live wakati wa uzinduzi huo.
Mkubwa Fella akiwashukuru mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
0 comments :
Post a Comment