Jana Ilikuwa Ni Siku ya Kuzaliwa ya
Mwanamuziki Anaye Make Headlines Bongo na Nje ya Nchi Diamond Platnumz,
Hakika wengi Walisubiri Kuona Mpenzi wake Wema Sepetu Atamzawadia Zawadi
gani Kwa Vile Yeye Alizawadiwa gari na Diamond..So Wengi Tulisubiri
kuona Atafanya nini ....Lakini Jana Zawadi kubwa iliyotolewa ilikuwa ni
Gari Aina la BMW ambalo Diamond Alipewa Zawadi na Management Team yake
..Ikimaanisha kina Babu Tale....Mie Sikuwepo kwenye Party Hiyo kwa
anayejua Wema Alitoa zawadi Gani Atujuze Basi Hapo Kwenye Comment.
0 comments :
Post a Comment