MTOTO mzuri Bongo
Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefafanua ukaribu wake na Martin
Kadinda kwa kudai ni rafiki yake wa karibu na hakuna cha ziada.Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na Martin Kadinda.
Akipiga stori na paparazi wetu, Lulu
alisema yeye na Kadinda ni marafiki wa kweli na amekuwa akiinjoi maisha
yao kwa kushauriana masuala mbalimbali ya kimaisha tofauti na wengine
wanavyojiongeza.Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
“Kadinda ni mtu wangu wa nguvu hakuna kingine zaidi ya urafiki wa kawaida, manenomaneno ni kawaida kwa wanadamu,” alisema Lulu.
0 comments :
Post a Comment