Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » ALI KIBA.. "NINA WATOTO WATATU NA KILA MMOJA ANA MAMA YAKE"

ALI KIBA.. "NINA WATOTO WATATU NA KILA MMOJA ANA MAMA YAKE"



Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba amesema kuwa ana watoto watatu na kila mmoja ana mama yake.
 
Akizungumza na jarida moja la burudani kiba aliyetoa nyimbo mbili mpya hivi karibuni alisema kuwa kati ya watoto hao mmoja anaishi nae, wa pili yupo  Dar es salaam na mama yake na watatu anaishi Uingereza na mama yake.

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX