Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » ASKARI WA USALAMA BARABARANI AGONGWA NA DALADALA SIKU YA JANA, MBAGALA DAR

ASKARI WA USALAMA BARABARANI AGONGWA NA DALADALA SIKU YA JANA, MBAGALA DAR


Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala Mbagala Rangi Tatu, jana asubuhi.

Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu, jana asubuhi.

Habari zinasema kuwa baada ya ajali hiyo, askari huyo alikimbizwa katika Hospitali ya Temeke na baadaye kuhamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili na hali yake inaendelea vizuri.

(CREDIT: HABARI NA MATUKIO BLOG)

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX