Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » HILI NDILO JUMBA AMBALO DIAMOND AMEMJENGEA MAMA YAKE MZAZI..LICHEKI HAPA JUMBA HILO

HILI NDILO JUMBA AMBALO DIAMOND AMEMJENGEA MAMA YAKE MZAZI..LICHEKI HAPA JUMBA HILO


kupitia akaunti yake ya Instagram Diamond ametupia picha ya ile nyumba aliyosema anamjengea mama yake. Katika picha hiyo aliambatanisha na maelezo haya "Had to visit mama Chibu's Village today.." Nyumba hiyo inaonekana ya kifahari hasa ukiangalia muundo na mabati yaliyotumika kujenga nyumba huyo.


0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX