Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » JINAMIZI LA AJALI LAITESA TANZANIA..!! MABASI YA DAR EXPRESS NA SIMBA MTOTO YAGONGANA...

JINAMIZI LA AJALI LAITESA TANZANIA..!! MABASI YA DAR EXPRESS NA SIMBA MTOTO YAGONGANA...




Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa yamepigana pasi maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu. Haijafahamika mara moja madhara ya ajali hii wala chanzo chake kwa kuwa ripota wetu hakubahatika kumpata msemaji wa polisi. Hata hivyo Globu ya Jamii inaendelea na juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa taarifa zaidi. Tuendelee kuvuta subira.

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX