Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » Kali:Mchungaji Awasugua Matiti Wadada Kuwaombea Waweze Kuwa na Uwezo wa Kupata Watoto

Kali:Mchungaji Awasugua Matiti Wadada Kuwaombea Waweze Kuwa na Uwezo wa Kupata Watoto

Kila Siku zinavyoenda Vioja vinavyofanywa na Wachungaji wa Dini Vinaibuka , Baada ya hivi Karibuni mchungaji mmoja kuwalisha Nyasi Wafuasi wake Mwingine Ameibuka Nchini Kenya Akidai kuwaponya Wanawake ambao hawapati watoto Kwa Kuwasugua Matiti yao Huko Akiwaombea Katika ofisi yake....End of The World...!!

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX