Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » KASHFA YA USAGAJI: ANTI LULU AMPIGIA MAGOTI MAMA YAKE

KASHFA YA USAGAJI: ANTI LULU AMPIGIA MAGOTI MAMA YAKE





Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa skendo ya kujihusisha ya vitendo vya kisagaji inayomuandama imemsababishia msala mkubwa kwa mama yake na kuamua kumuomba radhi.


Akizungumza na Global publisher, Aunty Lulu alisema mama yake ana ugonjwa wa presha hivyo amejirekebisha katika eneo hilo ili asiweze kumkwaza tena mzazi wake huyo.

“Najua nimemuumiza sana mama yangu, nachukua fursa hii kumuomba sana samahani kwa kuwa najua aliumia sana kutokana na habari hiyo lakini nataka kumuambia kuwa mimi mtoto na nitaendelea kuwa mwanaye, anisamehe mama yangu,” alisema Aunty Lulu.

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX