Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » MAKUBWA HAYA..!! DADA AWABAKA WATOTO 2 WA KIUME, AWALAZIMISHA WAMWINGILIE KIMWILI USIKU WA MANANE

MAKUBWA HAYA..!! DADA AWABAKA WATOTO 2 WA KIUME, AWALAZIMISHA WAMWINGILIE KIMWILI USIKU WA MANANE


 
Vitendo vya ngono nchini Uganda vimesababish maambukizi makubwa ya UkimwiMwanamke wa miaka 37, Adong anashikiliwa na Polisi huko Gulu nchini Uganda kwa kosa la kuwaingilia watoto wawili wa kiume wenye umri wa miaka 14 na 15 ambao vilevile ni wenye undugu na yeye!Aliwaingilia watoto hao alipokwenda kuwatembelea wazazi wao na ndipo usiku akanyata na
kuingia chumbani mwao na kuwashawishi bila aibu wamle uroda!Ilitokea baba yao aliwasikia wanae wakijadili juu ya "utamu" na ndipo akaiarifu polis nao hawakuzubaa na kumtia ndani. Akitiwa hatiani anaweza kufungwa miaka 7 au maisha!Mambo hayo!

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX