Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » MASKINI MSANII ESHA BUHETI, APIGWA VIJEMBE KWA KUWA NA MAKALIO MADOGO

MASKINI MSANII ESHA BUHETI, APIGWA VIJEMBE KWA KUWA NA MAKALIO MADOGO

 
Kitendo cha kutojaaliwa makalio makubwa kwa staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti kimemsababishia anangwe na wasanii wenzake.

Akiongea na mwandishi wetu, Esha alisema anafahamu na anawashangaa watu wanaoponda maeneo hayo ya mwili wake kwani kwa upande wake anaamini kuwa mwanamke sura, makalio majaaliwa kwani hata mwanaume aliyemuoa analijua hilo na anampenda jinsi alivyo.

Kwa kuwa mume wangu ananikubali jinsi nilivyo hainiumizi kichwa kwani mimi naamini sifa ya mwanamke ni tabia na wala siyo shepu kama wengine wanavyofikiria,” alisema Esha.

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX