Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » MKE A RAFIKI YANGU ANATAKA NIMUONGEZEE NJIA ILI WAKATI WA KIJIFUNGUA ASIPATE SHIDA...NIFANYEJEE, USHAURI JAMANI

MKE A RAFIKI YANGU ANATAKA NIMUONGEZEE NJIA ILI WAKATI WA KIJIFUNGUA ASIPATE SHIDA...NIFANYEJEE, USHAURI JAMANI

 
Jamani bongo stars Mwenzenu naingia katika vishawishi kutoka kwa mke wa rafiki yangu kabisa, ni hivi rafiki yangu kasafiri kikazi nje ya nchi kwa muda sasa, huku nyuma amemuacha mke wake ambae ana ujauzito wa miezi nane sasa bado mmoja ajifungue , sasa juzi nimekutana nae tukapata lunch pamoja sehemu, basi katika kuongea ongea akaniambia dokta wake amemwambia kipindi hichi inafaa ampe sana yale mambo mumewe ili njia ifunguke asipate shida wakati wa kujifungua , sasa mume wake ndo hayupo katika kutaniana taniana akaniambia kama sita jali na nitakuwa msiri niwe nampa kitu mpaka atakapojifungua ili kuongeza njia...Bado sijamjibu na leo nimekuta message akikumbushia Jambo Hilo ..Wadau Nifanyaje?

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX