KABAANG! Miss Sinza 2001 na aliyekuwa pia mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amenaswa akiwa kimalovee laivu kitandani na modo maarufu Bongo aliyejulikana kwa jina moja la Calisa.
Miss Sinza 2001, Husna Maulid akila ujana na modo maarufu Bongo anayejulikana kwa jina moja la Calisa.Picha
hizo ambazo zinamuonesha Husna na Calisa wakiwa wamekumbatiana zimevuja
kiitelejensia na kumfikia paparazi wetu kisha akawauliza kulikoni? Ni
wapenzi?
“Siyo kweli sina uhusiano na Calisa, sina boyfriend na sitaki
mwanaume kwa sasa, Calisa ni rafiki yangu tu,” alijibu Husna huku Calisa
akijibu:
“He hebu ngoja kwanza nitakupigia, hizo picha kaleta nani?”
0 comments :
Post a Comment