MWANADADA anayefanya poa katika tasnia ya filamu za
Kibongo Salma Jabu ‘Nisha’ hivi karibuni alilazimika kuwachezea
wanafunzi waliomtaka kufanya hivyo wakati wao wakimuimbia katika maeneo
ya Posta, jijini Dar es Salaam. 
“Ile kushuka ili niulizie sehemu nikashangaa kundi la wanafunzi limenivamia na kuanza kuniambia Nisha shuka huku wakiimba na kunitaka niwachezee, ikanibidi nifanye wanavyotaka baada ya hapo wakanielekeza nikaondoka, kiukweli nilifurahi na napenda sana kuona mashabiki zangu wakinipa sapoti,”
0 comments :
Post a Comment