Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » NJAA MBAYA JAMANI ANGALIENI SIMBA ALIVYOMBADILIKIA MAMBA KISA MZOGA WA KIBOKO UTADHANI ANAWEZA KUUMALIZA WOTE..!

NJAA MBAYA JAMANI ANGALIENI SIMBA ALIVYOMBADILIKIA MAMBA KISA MZOGA WA KIBOKO UTADHANI ANAWEZA KUUMALIZA WOTE..!










Ni jambo la nadra sana kuona wanyama wanaosifika kwa kuwala wenzao mbugani kuonekana wakipambana, katika picha hizi zilizopigwa na mtaalam wa masuala ya teknolojia kutoka San Francisco nchini Marekani, Richard Chew aliyekuwa kwenye mapumziko na mke wake  kwenye mbuga ya Maasai Mara iliyopo Kenya aliweza kunasa tukio la mamba akipambana na Simba mwenye njaa wakigombea mzoga wa kiboko aliyekufa,

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX