Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » Picha: Beyonce apata shida baada ya nguo kufunguka na kuacha kifua chote wazi akiwa jukwaani

Picha: Beyonce apata shida baada ya nguo kufunguka na kuacha kifua chote wazi akiwa jukwaani


Beyonce Knowles alipata tatizo la aina yake alipowasapraiz mashabiki wake kwa kuungana jukwaani na mumewe Jay Z ghafla katika Global Citizen Festival iliyofanyika wikendi iliyopita. 
 
Akiwa katika harakati za kuimba na kucheza, ghafla top yake nyeupe ilifunguka na kifua chake kubaki wazi huku ‘maziwa’ yakitoka nje ya bra iliyokuwa na rangi ya ngozi yake.

Hata hivyo, kitendo hicho kilifanyika ndani ya sekunde chache kiasi kwamba mashabiki waliokuwa wanashangweka hawakukishtukia hadi pale video ya show hiyo ilipotoka na wana habari wakacapture picha na hivi sasa imesambaa.
 
Katika hatua nyingine, Beyonce alionekana akiwa na pete ya ndoa kwenye jukwaa hilo hivyo kuzidi kuwaonesha watu kuwa ndoa yao iko imara tofauti na tetesi zisizokoma juu ya uhusiano wao.

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX