Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » PICHA: FIESTA YAFUNIKA NDANI YA MOROGORO KWENYE VIWANJA VYA JAMHURI..JIONEE HAPA

PICHA: FIESTA YAFUNIKA NDANI YA MOROGORO KWENYE VIWANJA VYA JAMHURI..JIONEE HAPA

 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Stamina na Ney wa Mitego wakilishambulia jukwaa mbele ya umati wa wakazi wa mji wa Morogoro mapema jana ndani ya uwanja wa Jamhuri.
 Msanii wa Bongo Fleva Vanessa Mdee a.k.a V-Money akitumbuiza mashabiki waliokuwa wamefurika kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro kwenye Tamasha la Fiesta 2014.
 Mmoja wa mashabiki aliyekuwa kwenye Tamasha la Fiesta akishangilia huku akiwa amebebwa na mwenzake.
 Vanessa Mdee akipagawisha jukwaani.
 Umati uliyokuwa umefurika kwenye Tamasha la  Fiesta 2014, ukishangilia moja ya burudani zilizokuwa zikitolewa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
  Umati uliyokuwa umefurika kwenye Tamasha la  Fiesta 2014, ukishangilia moja ya burudani zilizokuwa zikitolewa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
 Mashabiki wakishangweka
 Makomando wakiwajibika jukwaani hapo.
 Ommy Dimpoz akiimba na mmoja wa mashabiki aliyekuwa akiimba kwenye nafasi ya Vanessa Mdee katika wimbo wa Me & U.
 Msanii wa kike Linah wa kwanza kutoka kushoto akiwajibika jukwaani na mmoja wa wanenguaji wake.
 Chipukizi wa Bongo Fleva Mo Music akikamua kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta mjini Morogoro, usiku wa kuamkia leo.
 Mmoja wa mashabiki akiwa amebebwa jujuu wakati shangwe za Serengeti Fiesta 2014 zikiendelea usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Fid Q akifanya yake kwenye jukwaa la Fiesta ndani ya uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
 Mashabiki wakishangilia
 Baba Levo na Peter Msechu wakipagawisha jukwaani hapo
 Kundi la Weusi kutoka nyanda za Kaskazini wakifanya makamuzi yao kwenye jukwaa la Fiesta, usiku wa kuamkia leo mjini Morogoro

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX