Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » PICHA: MSIKITI WA HINDU DAR WATEKETEA KWA MOTO

PICHA: MSIKITI WA HINDU DAR WATEKETEA KWA MOTO


Kikosi cha zima moto kikifanya juhudi za kuzima moto huo.

Picha juu na chini ni sehemu ya chumba cha msikiti kilichoungua.Gari la kikosi cha zima moto likiwa eneo la tukio kuuzima moto.Wananchi wakiwa katika eneo la tukio wakisaidia kuokoa baadhi ya mali zilizopo ndani ya msikiti.

Baadhi ya mali zilizookolewa.Baadhi ya waumini wakiwa eneo la tukio.


MSIKITI wa madhehebu ya Wahindu uliopo maeneo ya Mtaa wa Kibasila karibu na shule ya Olimpia jijini Dar es Salaam, umeteketea kwa moto leo asubuhi ambapo baadhi ya mali zimeungua na mtu mmoja kukimbizwa hospitali kutokana na mshituko.

Akizungumza na mtandao huu, shuhuda mmoja alisema moto huo umesababishwa na hitilafu ya umeme iliyoanzia kwenye mashine ya luku ambapo baadhi ya waumini walikuwa wakijiandaa kuupamba msikiti huo.

(Habari/Picha na Gabriel Ng’osha/GPL)

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX