Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA JUX..

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA JUX..


 
Miongoni mwa mastar wa Tanzania wanaofanya Bongo Fleva ambao wana mashabiki wengi wa kike ni pamoja na Jux inawezekana labda aina ya muziki anaoufanya kuwagusa wasichana wengi

Zimesikika zingle zake kadhaa ikiwemo Napata Raha,Nitasubiri ,Uzuri wako na hii iko kwenye list ya single zake ambazo amesema anategemea zitafanya vizuri zaidi,Jux pia ni mmoja kati ya wanaounda kundi la Wakacha akiwepo na Cyril.
Bonyeza play kusikiliza.

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX