Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » "SIWEZI KUFANYA COLLABO NA NAY WA MITEGO"..ROMA AFUNGUKA

"SIWEZI KUFANYA COLLABO NA NAY WA MITEGO"..ROMA AFUNGUKA

tani tu ama kweli amemaanisha? Roma amedai kuwa hawezi kufanya collabo na Nay wa Mitego.




Drama ilianza baada ya kuweka picha kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa na Nay wa Mitego na kuandika: #Ninja n #EmmanuellyElibarik cc @naytrueboy #WeAllBrotherz Add a cap…..”

Kwa maelezo hayo ilionekana ni picha ya kawaida na kuwa jamaa hao wanaiva pamoja na Nay kumchana kwenye ngoma yake ‘Mr Nay’. Hata hivyo mambo yaligeuka baada ya Daudi wa Kota kumuuliza Roma: Collaboration lini?

Roma alijibu,” Mimi siwezi fanya kollabo na huyu jamaa man.”

Tunaamini ulikuwa ni utani tu.

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX