Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » UPDATE: YULE TRAFIKI ALIYEGONGWA NA GARI MBAGALA AFARIKI DUNIA

UPDATE: YULE TRAFIKI ALIYEGONGWA NA GARI MBAGALA AFARIKI DUNIA


ASKARI wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina moja la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam jana asubuhi amefariki dunia leo.
Mpaka mauti yanamfika, marehemu alikiuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbi

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX