Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » Video: Marekani yatoa video inayoonesha mashambulizi ya anga dhidi ya ISIS nchini Syria

Video: Marekani yatoa video inayoonesha mashambulizi ya anga dhidi ya ISIS nchini Syria

Makao Makuu ya Ulinzi, Pentagon Marekani imetoa kipande cha video inayoonesha jinsi walivyotekeleza na kufanikisha mashambulizi ya kwanza nchini Syria dhidi ya kundi linalojiita Islamic State Of Syria and Iraq (ISIS).

September 23 jeshi la Marekani lilitekeleza mashambulizi ya anga katika makao makuu ya kundi hilo Ar Raqqah, Syria.

Marekani na washirika wake wamelenga kushambulia na kutokomeza kundi hilo linalotekeleza mauaji na kuwachinja raia wa Marekani na Uingereza huku wakionesha katika vipande vya video.

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX