Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » Zawadi ya Gari Aliyopewa Wema Sepetu Siku ya Kuzaliwa Yaleta Kizazaa, Wadada Wamjini Wamecharuka

Zawadi ya Gari Aliyopewa Wema Sepetu Siku ya Kuzaliwa Yaleta Kizazaa, Wadada Wamjini Wamecharuka


Juzi ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mrembo Wema Sepetu, Kitu kilichovuta Hisia za Watu wengi ni zawadi ya Gari aliyopewa Wema Sepetu kutoka kwa Mpenzi wake Diamond Platnumz...Inasemekana huko mjini wadada wamechachamaa hawataki tena zawadi mchwara za maua , visimu ama saaa siku za sikukuu zao za kuzaliwa nao wanataka magari nao kutoka kwa Maboifriend zao.

Hili ni Tamko la Umoja huo wa Magelofurendi :

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX