Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » BAADA YA KUACHANA NA DIVA NA CHAGGA BARBIE, MSANII PREZOO AAMUA KUTUPIA PICHA YA MPENZI WAKE MPYA INSTAGRAM

BAADA YA KUACHANA NA DIVA NA CHAGGA BARBIE, MSANII PREZOO AAMUA KUTUPIA PICHA YA MPENZI WAKE MPYA INSTAGRAM

Baada ya drama kutoka kwa Diva, Huddah Monroe na Chagga Barbie, Prezzo ameamua kutulia na msichana asiye na umaarufu wowote.

Rapper huyo kutoka Kenya ameshare picha ya mrembo wake mpya kwenye Instagram na kuandika: “My 1st & only #WCW #Rapcellency #TrulyUnruly.”

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX