Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » BASI LA SUPER FEO LAGONGA MTI NA KUPINDUKA HUKO SONGEA, WAWILI WAFARIKI NA 30 KUJERUHIWA

BASI LA SUPER FEO LAGONGA MTI NA KUPINDUKA HUKO SONGEA, WAWILI WAFARIKI NA 30 KUJERUHIWA




Watu wawili wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa baada ya ajali mbaya iliyotokea leo katika eneo la Sanangula nje kidogo ya mji wa Songea mkoani Ruvuma ikilihusisha basi la Super Feo linalofanya safari zake kati ya Songea - Makambako lililoacha njia na kugonga mti.

Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni mwendo kasi.




0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX