Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » PICHAZ: FUNIKA BOVU..SERENGETI FIESTA GEITA NI SHEEEDAAAAA! SHUHUDIA MWENYEWE HAPA!

PICHAZ: FUNIKA BOVU..SERENGETI FIESTA GEITA NI SHEEEDAAAAA! SHUHUDIA MWENYEWE HAPA!

Huu ni mji wa 8 kufikiwa na Serengeti Fiesta 2014 kati ya miji 18 ambayo ipo kwenye list ya kukutana na msimu huu wa mafanikio ambao hua unakufikia mara moja tu kwa mwaka.

Baada ya Shy Town imefata Geita kisha baadae msimu huu wa mafanikio utakua unasambaza upendo kwenye mkoa wa Tabora 88.0 kwenye uwanja wa Al Hassan Mwinyi,Geita wameonyesha upendo mkubwa sana licha ya kiingilio kuwa tofauti na miji mingine.


Katika miji iliyopita kiingilio cha Fiesta kimepita kwa shilingi 5,000 lakini kwa Geita imekua ni 10,000 lakini pamoja na kuwa kiingilio hicho bado wana Geita wamefanikiwa kusambaza upendo.

Hizi ni baadhi ya picha wakati wasanii wanaperfoam.

Ney wa Mitego on Stage.

Ney wa Mitego na Stamina wakiperfoam huko kwenu vipi?


Stamina aka Shorobwenzi..


Wakata mkaa wenye roho mbaya ‘Chegge na Temba’ wakiwa kazini.



Stamina.

Team XXL ‘Dj Fetty na Dj Zero’

Ilifika time ya kuonyeshwa mwanga wa simu na viberiti tu,hapa taa zote huzimwa uwanjani.

Dj Zero.

Fid Q.


Fid Q akisema na mtoto wa Geita.


Nikki wa pili.




Dj Fetty kutoka XXL ya Clouds FM.



Ommy Dimpoz.

Recho akiwa na Dancers wake.




Young Killer.

Nyomi la Wanageita.



Mr.Blue

Kutoka XXL ya Clouds FM huyu ni Adam Mchomvu.

Linah na Kadja Maumivu.





Kadja Maumivu.


Barakah Da Prince.

Mo Music.

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX