Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » VIDEO TEASER: KIONJO CHA VIDEO YA SHILOLE KIUNO- "NAMCHUKUCHUA".. TAZAMA HAPA

VIDEO TEASER: KIONJO CHA VIDEO YA SHILOLE KIUNO- "NAMCHUKUCHUA".. TAZAMA HAPA



Mwezi uliopita Shilole alienda Nairobi, Kenya kushoot video ya single yake mpya ‘Namchukua’, video ambayo imeongozwa na director Kevin Bosco Jnr. Shilole amesema video hii imemgharimu si chini ya shilingi milioni 10. Hii ni teaser ya video hiyo inayotarajiwa kutoka ‘soon’.

Play au Download hapa video hiyo...!

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX