Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » WEMA NA KAJALA WAZIDI KUONYESHANA UBABE, FIRST LADY WA WASAFI "WEMA SEPETU" ATOA MANENO YA KEJELI KWA KAJALA

WEMA NA KAJALA WAZIDI KUONYESHANA UBABE, FIRST LADY WA WASAFI "WEMA SEPETU" ATOA MANENO YA KEJELI KWA KAJALA

NGOMA nzito! Kauli ya sexy lady wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kuwa yupo tayari kumtumikia msanii mwenzake Kajala Masanja ‘K’ kwenye kampuni yake ya KAY Entertiment tena bila malipo yoyote, imetafisiriwa kuwa ni kejeli.
Sexy lady wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’
Hivi karibuni Wema alikaririwa akisema: “Nakubali kwamba Kajala anaweza kuwa na maisha mazuri ya kiasi hicho na akanifanya mfanyakazi wake katika kamusi yake kwa sababu sioni cha kumfanya ashindwe kuwa hivyo, naamini anaweza kuniajiri na wala sina kipingamizi! hahahaa!
Msanii wa Bongo Movie Kajala Masanja ‘K’.
Baada ya kauli hiyo ya Wema, mashabiki wake waliikataa kwa maelezo kuwa alilenga kumkejeli Kajala ambaye awali aliwahi kumwajiri kwenye kampuni yake ya Endless Fame Production.

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX