Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » YASEMEKANA...!! MSANII MWENYE MVUTO LULU MICHAEL NI KISIRANI NA MBABE KWENYE MAPENZI NA NDIYO MAANA ADUMU KWENYE MAHUSIANO..!! HUU APA NI UKWELI JUU YA SAKATA ILO

YASEMEKANA...!! MSANII MWENYE MVUTO LULU MICHAEL NI KISIRANI NA MBABE KWENYE MAPENZI NA NDIYO MAANA ADUMU KWENYE MAHUSIANO..!! HUU APA NI UKWELI JUU YA SAKATA ILO



Star wa filamu nchini aliyejaaliwa mvuto wa kipekee, Lulu Elizabeth Michael anadaiwa kutodumu na mwanaume sababu ya kuendekeza ubabe na kutaka kum-control mwanaume anayekuwa naye.


Inadaiwa Lulu hataki mchezo, mwanaume akishakuwa nae basi lazima ahakikishe hafurukuti. Taarifa zinadai kuwa miezi ya hivi karibuni alikuwa na jamaa mmoja mdogo kimapenzi akammwaga na baada ya muda akawa anatoka na tajiri mmoja wa madin toka Arusha lakini tajiri huyo alinyoosha mikono juu baada ya Lulu kama kawaida kuruhusu majeshi yake yam-control jamaa huyo.

Chanzo kimoja kikizungumza kwa sharti la kutotajwa jina kimesema:

" Lulu ni mtu mwenye kisirani kwa wanaume, hadumu nao, wengie wanaokuwau nae ni wale wavumilivu sana. Nadhani ana matatizo ambayo yanahitaji mtaalam wa saikolijia ya mahusiano, akizinguliwa tu hachelewi kuvunja simu na kurejesha kila kitu alichokuwa amepewa"

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX