Msichana mrembo ambaye jina lake
halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni aliponea chupuchupu
kubakwa baada ya kuzidiwa na kilevi na kuangukia mikononi mwa wanaume
wakware.
Tukio hilo lilijiri mjini Iringa kwenye Uwanja wa Samora kulikokuwa na Tamasha la Fiesta
ambapo awali msichana huyo alionekana akicheza kihasara kwa
kujigalagaza chini na mzuka ulipomuishia, alijikokota hadi pembeni akiwa
hana nguvu, kitendo kilichowafanya wanaume wasio wastaarabu kumzingira.
Hata hivyo, walinzi waliokuwa eneo hilo walitumia nguvu ya ziada kumuokoa mrembo huyo kutoka kwa midume hiyo iliyokuwa imepania kumkomesha
0 comments :
Post a Comment