Pata Habari Motomoto za Nje na Ndani ya Nchi kwa njia ya E-mail, Andika E-mail yako hapo chini.


Home » » Ukweli Kuhusu Tetesi za Mwanamuziki Tunda Man Kufukuzwa Kundi la Tip Top Connection

Ukweli Kuhusu Tetesi za Mwanamuziki Tunda Man Kufukuzwa Kundi la Tip Top Connection


Manager wa Tiptop Bab Tale amesema msanii Tunda Man hajasimamishwa kazi Tiptop na sio kawaida kwa Tiptop kusimamisha wasanii wake ila kila msanii ana mfumo wake wa kurekodi na kutoa kazi mpya. Tetesi za Tunda Man kusimamishwa kazi zilisambaa hivi karibuni zikichangiwa na ukimya wa Tunda Man baada ya kutoa video ya Msambinungwa February mwaka 2014.

0 comments :

Post a Comment

 

Copyright © 2013. BONGO STARS LINK - Haki zote zimehifadhiwa
Template Modify by Habarizetuleo TEAM
Proudly powered by MAN DUGX