Mkuu
wa mkoa wa Ruvuma, Saidi Mwambungu (katikati) akiongea na wasanii wa
Fiesta (hawapo pichani) asubuhi ya leo muda mfupi baada ya kuwaomba
kunywa nao chai Ikulu ndogo Songea.
Wasanii wa Serengeti Fiesta wakiendelea kumsikiliza mkuu wa mkoa wa Ruvuma.
Mkurugenzi
wa utafiti na maendeleo wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba(wa pili
kutoka kushoto) akiwaongoza wasanii wa Serengeti Fiesta Ikulu ndogo
Songea.
0 comments :
Post a Comment